Benki ya Covenant Bank
imetoa mafunzo kwa ambapo licha ya kutoa elimu pia itawawezesha Mama lishe wote
nchini kwa kuwaunganisha na huduma za bima ya matibabu na bima ya mazishi, huku
wakiwezeshwa kutumia huduma za benki hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Covenant Bank, Sabetha Mwambenja akifafanua jambo kwa mam lishe mbalimbali wa Dar es Salaam wakati wa semina ya mafunzo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam, Benki hiyo itawawezesha Mama lishe wote nchini kwa kuwaunganisha na huduma za bima ya matibabu na bima ya mazishi, huku wakiwezeshwa kutumia huduma za benki hiyo. Huduma hizo zinatotela kwa kushirikiana na Taasisi ya Basila Mwanukuzi.