Kigoma Online News

FURNITURE

KALIHAMWE STATIONARY

KALIHAMWE STATIONARY

Feb 12, 2016

AIRPORT FC YAITAMBIA EST TANGANYIKA KATIKA MASHINDANO YA DR. LIVINGSTONE

Mchezaji wa Airport FC, Kaluhije Wilfred akihuana vikali na mhezaji wa EST Tanganyika.





Klabu ya Airport FC imeifunga klabu ya EST Tanganyika mabao 5-4 katika mikwaju ya penalt baada ya kutoka sare katika dakika 90 katika mashindano ya Dr. Livingstone yanayoendelea mkoani Kigoma.