Kigoma Online News

FURNITURE

KALIHAMWE STATIONARY

KALIHAMWE STATIONARY

Mar 27, 2016

ENGLAND YAITAMBIA UJERUMANI


Timu ya England imefanikiwa kutoka nyuma na kupata ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Germany katika mchezo wa kirafiki uliopigwa nchini Germani.
 
Ujeruman ndio ilikuwa ya kwanza kupata bao kupitia Ton Kroos na baadae Gomez akaongeza bao la pili, baadae England ilisawazisha kupitia kwa Harry Kane na Baadae Jimmy Vaddy akasawazisha bao la pili huku Dier akifunga bao la tatu katika dakika ya 90 na kuifanya England kuondoka na ushindi katika mchezo huo.
 
matokeo ya michezo mingine ni kama ifuatavyo.
 
Azerbaijan 0-1Kazakhstan

Russia  3-0  Lithuania
Austria  2-1  Albania
Poland  5-0  Finland
Hungary 1- 1 Croatia
Germany 2 -3  England