Kigoma Online News

FURNITURE

KALIHAMWE STATIONARY

KALIHAMWE STATIONARY

Mar 7, 2018

ALIYEKUWA MBUNGE WA AFRIKA MASHARIKI AFARIKI DUNIA

Aliyewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya CHADEMA , Mbunge wa Afrika Mashariki na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM kigoma Dr. Aman Wallid Kabourou amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.

Kabourou amefariki dunia baada ya kuugua ugonjwa wa kiharusi (Strock).

R.I.P Kabourou