Kigoma Online News

FURNITURE

KALIHAMWE STATIONARY

KALIHAMWE STATIONARY

Feb 9, 2016

ZOUMA BASI TENA


Beki wa timu ya Chelsea Kurt Zouma atakua nje ya uwanja kwa miezi sita baada ya kuumia goti kwenye mchezo wa ligi kuu nchini England dhidi ya Man united uliopigwa hapo jana katika uwanja wa Stamford Bridge.

Baada ya kuumia goti Zouma  atafanyiwa operesheni kwenye goti lake ambalo aliumia  baada ya kutua  vibaya aliporuka kupiga Kichwa.

Uchunguzi umethibitisha kuumia na hivyo anapaswa kufanyiwa upasuaji kutibu tatizo hilo Kawaida, Mchezaji akipata majeruhi ya aina hii, basi huwa nje ya Uwanja si chini ya Miezi hivyo mchezaji huyu atakosa michezo yote ya msimu uliobaki.

Zouma amekua pacha wa John Terry ameichezea Chelsea Mechi 32 Msimu huu na alishaichezea Ufaransa Mechi 2 za Kimataifa.