Kigoma Online News

FURNITURE

KALIHAMWE STATIONARY

KALIHAMWE STATIONARY

Jul 6, 2015

MAREKANI YATWAA UBINGWA WA DUNIA KWA WANAWAKE KWA KUIFUNGA TIMU YA JAPAN.

Timu ya taifa ya Marekani imefanikiwa kutwaa ubingwa wa wananwake kwa kuifunga Timu ya Taifa ya Japan goli 5 kwa 2.


Nyota wa mchezo huo alikuwa ni mshambuliaji wa Marekani Carli Lloyd aliyefunga goli 3 katika mchezo huo ndani ya dakika 13 katika dakika ya 3, 5 na 16 ya mchezo huo.



Magoli mengine ya Marekani yalifngwa na Lauren Holiday pamoja na Tobin Heath.