Kigoma Online News

FURNITURE

KALIHAMWE STATIONARY

KALIHAMWE STATIONARY

Jul 6, 2015

DOGO JEMBE AKIZUNGUMZIA SERA ZAKE

Dogo Jembe ni moja ya video fupi ambazo zimeweza kujipatia umaarufu kwa siku za karibuni kutokana na mambo ambayo yamekuwa akiyazungumzia kuelekea uchaguzi mkuu.


Leo nimekuletea hii akizungumzia Sera zake kuelekea uchaguzi mkuu.