Kigoma Online News

FURNITURE

KALIHAMWE STATIONARY

KALIHAMWE STATIONARY

Jul 11, 2015

MATOKEO YA 3 BORA URAIS CCM HAYA HAPA

Baada ya kupata Top 5 ya mbio za kuwania nafasi ya kugombea kiti cha Urais kupitia CCM, Sasa Matokeo 3 bora yako wazi na kula zilikuwa kama ifuatavyo.

1. Magufuli kura 290
2. Amina kura 284
3. Migiro kura 280
4. Makamba kura 124
5. Membe kura 120