Kigoma Online News

FURNITURE

KALIHAMWE STATIONARY

KALIHAMWE STATIONARY

Jul 16, 2015

MZEE OJWANG KUZIKWA JULAI 28

Aliyekuwa mwigizaji ya maigizo ya kuchekesha kutoka Kenya, Benson Wanjau "Mzee Ojwang" anatatajiwa kuzikwa Julai 28.

Ratiba ya mazishi hayo imetolewa na Seneta wa Nairobi, Mike Sonko kupitia akaunti zake za Facebook na Twitter.

Mzee Ojwang alifariki Julai 12 katika hospital ya Kenyata iliyopo jijini Nairobi alipokuwa amelazwa kwa kusumbuliwa na ugonjwa wa Pneumonia.

Mzee Ojwang alikuwa mwigizaji maarufu wa vipindi vya kuchekesha vipindi maarufu kama Vitimbi, Vioja Mahakamani, Vituko na Kinyonga kupitia chaneli mbalimbali za Kenya na nje ya Kenya, kwa Tanzania kupitia ITV.