Kigoma Online News

FURNITURE

KALIHAMWE STATIONARY

KALIHAMWE STATIONARY

Jul 11, 2015

TAARIFA MPYA KUTOKA CCM - DODOMA

Taarifa inayosubiliwa na wengi kutoka Dodoma Tanzania… Watu wengi wamekaa tayari kujua nini ambacho kitaamriwa Dodoma kuhusu Mgombea Urais ambae anateuliwa na CCM kugombea Urais wa Tanzania 2015.
Majina yalikuwa mengi zaidi ya 38, hii ndio list ambayo imetangazwa kuingia Top 5.

1. Bernad Membe
2. John Pombe Magufuri
3. Asha Rose Migiro
4. January Makamba
5. Amina Salumu Ally