Kigoma Online News

FURNITURE

KALIHAMWE STATIONARY

KALIHAMWE STATIONARY

Jan 2, 2016

KIGOMA YAFANYA IBADA YA MAOMBI YA SHUKRANI KWA KUMALIZA UCHAGUZI SALAMA

Matukio katika picha ibada ya maombi ya kumshukuru Mungu kumaliza uchaguzi mkuu uliofanyika Octoba 25 kwa ambani na usalama, Maombi yaliyofanyia Juzi (Alhamisi) ambapo yaliyoongozwa na Umoja wa Makanisa ya Kikiristo mkoani Kigoma katika uwanja wa Community Centre.
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya akizungumza na wananchi katika ibada ya kumshukuru Mungu iliyofanyika katika viwanja vya Community Centre katika Manispaa ya Kigoma-Ujiji.




Askofu Mstaafu wa Kanisa la Pentekoste Assembles Of God Tanzania (P.A.G.T) Kigoma, Michael Kulwa akisoma risala kwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Issa Machibya,  kwa niabaya ya Wachungaji wa makanisa ya Kikristo mkoani Kigoma.
Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Kigoma wakijitambulisha kwa wananchi katika Ibada ya kumshukuru Mungu kwa kumaliza uchaguzi mkuu kwa amani na utulivu, ibada iliyofanyika katika uwanja wa Community Centre Manispaa ya Kigoma-Ujiji.
Muimbaji waNyimbo za Injili Victor Aron akiimba katika Ibada ya kumshukuru Mungu kwa kumaliza uchaguzi mkuu kwa amani na utulivu, ibada iliyofanyika katika uwanja wa Community Centre Manispaa ya Kigoma-Ujiji.

Muimbaji waNyimbo za Injili Victor Aron akiimba katika Ibada ya kumshukuru Mungu kwa kumaliza uchaguzi mkuu kwa amani na utulivu, ibada iliyofanyika katika uwanja wa Community Centre Manispaa ya Kigoma-Ujiji.
Viongozi wa dini wakiwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Issa Machibya (Wa tatu kutoka kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Saveli Mwangasame (Wa pili kutoka kushoto) wakiwa katika Ibada ya kumshukuru Mungu kwa kumaliza uchaguzi mkuu kwa amani na utulivu, ibada iliyofanyika katika uwanja wa Community Centre Manispaa ya Kigoma-Ujiji.
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Issa Machibya akiwa na Viongozi wa serikali na viongozi wa dini pamoja na  wanasiasa wakifanya maombi ya kumshukuru Mungu kwa kumaliza uchaguzi mkuu kwa amani na utulivu, ibada iliyofanyika katika uwanja wa Community Centre Manispaa ya Kigoma-Ujiji.

Wananchi mkoani Kigoma wakiwa katika Ibada ya kumshukuru Mungu kwa kumaliza uchaguzi mkuu kwa amani na utulivu, ibada iliyofanyika katika uwanja wa Community Centre Manispaa ya Kigoma-Ujiji.

Waimba kwaya katika moja ya kanisa la Kipentekoste wakiimba katika  Ibada ya kumshukuru Mungu kwa kumaliza uchaguzi mkuu kwa amani na utulivu, ibada iliyofanyika katika uwanja wa Community Centre Manispaa ya Kigoma-Ujiji.