Kigoma Online News

FURNITURE

KALIHAMWE STATIONARY

KALIHAMWE STATIONARY

Jan 12, 2016

LICHA YA KUTOKUTWAA TUZO RONALDO AONYESHA VITUKO VYAKE

Licha ya kutokutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia (Ballon' d'O'r) Mshambuliaji wa Real Madrid Christian Ronaldo ameonekana kuwa na furaha katika sherehe za ugawaji wa tuzo hizo hapo jana kama anavyoonekana kwenye picha.