Kigoma Online News

FURNITURE

KALIHAMWE STATIONARY

KALIHAMWE STATIONARY

Jan 28, 2016

NI LIVERPOOL NA MAN CITY FAINAL CAPITAL ONE CUP

Fainali ya mashindano ya kombe la ligi nchini England (Capital One Cup) inayotaraiwa kupigwa tarehe Februari 28 katika uwanja wa Wembley itazikutanisha timu ya Liverpool na Man City baada ya timu hizo kushinda michezo yao ya hatua ya Nusu fainali.

Liverpool imetinga fainal ya mashindano hayo baada ya kuitoa Stoke city kwa mikwau ya penarty 6-5, wakati Man City imetinga hatua hiyo baada ya kuifunga Everton bao 3-1.