Kigoma Online News

FURNITURE

KALIHAMWE STATIONARY

KALIHAMWE STATIONARY

Jan 19, 2016

ZITTO NA SHULE YAKE YA MSINGI KIGOMA KUNANI?

Mbunge wa jimbo la Kigoma Mjini Zitto Kabwe akizungumza na wanafunzi wa darasa la saba wa shule ya msingi Kigoma iliyopo manispaa ya Kigoma Ujiji alipokuwa kwenye ziara ya kukagua utekelezaji wa mpango wa elimu bure kwa shule za msingi na sekondari sambamba na kuangalia mafanikio na mapungufu yaliyojitokeza wakati wa kuanza kutekelezwa kwa mpango huo.

Mbunge wa jimbo la Kigoma Mjini Zitto Kabwe (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Diwani wa kata ya Kigoma Mjini Hussein Kalyango (wa pili kushoto) kuhusu kubomoka kwa baadhi ya madarasa ya shule ya Msingi Kigoma kulikotokana na kuathiriwa na mfereji wa Lubengera uliobomoa kingo za mifereji na kuathiri madarasa hayo.