Kigoma Online News

FURNITURE

KALIHAMWE STATIONARY

KALIHAMWE STATIONARY

Dec 30, 2015

WAZIRI MKUU AFUNGUA SOKO JIPYA LA SAMAKI KIBIRIZI-KIGOMA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassimu Majaliwa, akizindua Jiwe la Msingi kuashiria ufunguzi wa soko jipya la samaki katika kata ya Kibirizi Manispaa ya Kigoma-Ujiji.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, akikagua soko jipya la samaki lililoko kata ya Kibirizi katika Manispaa ya Kigoma Ujiji baada ya kulifungua.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasiri Kata ya Kibirizi katika Manispaa ya Kigoma-Ujiji kwa lengo la kufungua soko jipya la samaki, kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya.