Kigoma Online News

FURNITURE

KALIHAMWE STATIONARY

KALIHAMWE STATIONARY

Dec 30, 2015

WAZIRI MKUU ATEMBELEA ZAHANATI YA NYARUGUSU- KIGOMA

Waziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa, ametembelea Zahanati iliyoko ndani ya kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu hapo jana alipokuwa kwenye ziara yake ya siku tatu mkoani Kigoma.

Akiwa katika Zahanati hiyo Waziri Mkuu alitoa zawadi katika wodi ya wazazi, ambapo alitoa mablanket, khanga na ndoo za maji.
Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa, akitoa zawadi ya khanga, blanket na ndoo kwenye wodi ya wazazi katika Zahanati iliyopo ndani ya kambi ya Nyarugusu. 
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa, akisalimia baadhi ya wagonjwa katika Hospitali iliyoko ndani ya kambi ya Nyarugusu baada ya kutembelea kambini humo.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa, akisalimia baadhi ya wagonjwa katika Hospitali iliyoko ndani ya kambi ya Nyarugusu baada ya kutembelea kambini humo.