Kigoma Online News

FURNITURE

KALIHAMWE STATIONARY

KALIHAMWE STATIONARY

Dec 10, 2015

ZITTO KABWE AWAONGOZA WABUNGE WA KIGOMA KUFANYA USAFI, KASULU UTD NAYO HAIKUWA NYUMA

Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe akiwa na baadhi ya wananchi wa Kigoma na Kata ya Rusimbi baada ya kumaliza kufanya usafi katika eneo la Zahanati ya Rusimbi.

Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe akiwa na baadhi ya wananchi wa Kigoma na Kata ya Rusimbi  wakishirkiana kufanya usafi katika eneo la Zahanati ya Rusimbi.

Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe akifanya usafi katika eneo la Zahanati ya Rusimbi katika Manispaa ya Kigoma ujiji.

Mbunge wa Kasulu Vijijini Vuma Augustino akifanya usafi hapo jana.

Wachezaji wa Timu ya Kasulu United na Red Star wakiwa pamoja baada ya kufanya usafi kwa pamoja katika Hospital ya Wilaya ya Kasulu.

Wachezaji wa Timu ya Kasulu United na Red Star wakiwa pamoja baada ya kufanya usafi kwa pamoja katika Hospital ya Wilaya ya Kasulu.